Kikosi cha Yanga vs Singida Black Stars leo 24/03/2025, Matokeo ya Singida Black Stars vs Yanga leo 24/03/2025 | Singida BS yazindua Uwanja mpya wa Airtel kwa mechi maalum dhidi ya Yanga SC Singida, Tanzania – Singida BS itafungua rasmi uwanja wake mpya, Airtel Stadium, Jumatatu Machi 24, 2025.
Kikosi cha Yanga vs Singida Black Stars leo 24/03/2025
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo
- Khomeiny
- Kibwana
- Kibabage
- Andabwile
- Boka
- Mkude
- Sureboy
- Pacome
- Maxi
- Ikangalombo
- Sheikhan
SUB:- Mshery, Mwenda, Farid, Nkane
Tukio hili muhimu kwa klabu na mashabiki wake litaambatana na mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC.
Mchezo huo wa kihistoria utaanza saa 10:00 Jioni na kutoa fursa kwa mashabiki kushuhudia tamasha la soka na kufurahia mandhari ya uwanja huo mpya wa kisasa.

Ufunguzi wa Uwanja wa Airtel unatarajiwa kuwa hatua kubwa kwa Singida BS, kuipa timu hiyo mazingira bora ya mazoezi na mechi za nyumbani. Pia ni fursa kwa Yanga SC kuendelea kujipima nguvu kabla ya mechi zao zijazo za ligi na mashindano ya kimataifa.
Wingi wa mashabiki wa soka nchini wanatarajiwa kushuhudia mechi hiyo ya kihistoria na kusherehekea maendeleo ya soka la Tanzania.
CHECK ALSO:
- Matokeo ya Singida Black Stars vs Yanga leo 24/03/2025Â
- Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026
- Simba vs Al Masry Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho CAF, Ratiba na Muda wa Michezo Yote
- Raphinha Afichua Kufikiria Kuondoka Barcelona Baada ya Copa America
- Morocco vs Taifa Stars Kuchezwa Machi 26, Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Weka maoni yako