Viwango vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Tanzania

Viwango vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Tanzania | Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imechapisha viwango vya ubadilishaji fedha vya Aprili 15, 2025, ambavyo vinatumika kama rejea rasmi ya miamala ya fedha nchini. Viwango hivi vya kubadilisha fedha vinaonyesha thamani ya kununua na kuuza ya fedha za kigeni, ikiwa ni pamoja na dhahabu, dhidi ya shilingi ya Tanzania (TZS).

Viwango vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Tanzania

Viwango vya Sarafu za Kigeni (Buying & Selling Rates)

Nchi / SarafuUnunuzi (Buying)Uuzaji (Selling)
🇺🇸 Dola ya Marekani (USD)2,658.002,684.58
🇬🇧 Pauni ya Uingereza (GBP)3,493.943,529.15
🇪🇺 Euro (EUR)3,009.923,040.56
🇨🇳 Yuan ya China (CNY)363.52367.08
🇯🇵 Yen ya Japan (JPY)18.5018.68
🇿🇦 Randi ya Afrika Kusini (ZAR)140.54141.91
🇰🇪 Shilingi ya Kenya (KES)20.5420.67
🇷🇼 Faranga ya Rwanda (RWF)1.871.91
🇺🇬 Shilingi ya Uganda (UGX)0.69680.7311
🇧🇮 Faranga ya Burundi (BIF)0.89780.8904
Viwango vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Tanzania
Viwango vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Tanzania

Thamani ya Dhahabu (GOLD) kwa Wakia 1

  • Ununuzi: TZS 8,517,268.62

  • Uuzaji: TZS 8,605,421.19

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) huchapisha viwango hivi kwa madhumuni ya taarifa pekee. Viwango halisi vya ubadilishanaji fedha vinavyotozwa na taasisi za fedha kama vile benki na mashirika ya kubadilisha fedha vinaweza kutofautiana kulingana na soko. Wananchi wanashauriwa kuhakiki viwango halisi vya kubadilisha fedha kabla ya kufanya miamala mikubwa ya fedha za kigeni.

CHECK ALSO: