Mtibwa Sugar Yapanda Ligi Kuu NBC Tanzania 2025/2026

Mtibwa Sugar Yapanda Ligi Kuu NBC Tanzania 2025/2026 | Klabu ya Mtibwa Sugar imerejea rasmi Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa 2025/2026, baada ya kufanikiwa kupanda Ligi Daraja la Kwanza. Hii ni habari njema kwa mashabiki wa timu ya Morogoro na kwa wadau wote wa soka nchini.

Mtibwa Sugar Yapanda Ligi Kuu NBC Tanzania 2025/2026

Kupandishwa daraja kwa Mtibwa Sugar kunaonyesha juhudi kubwa zinazofanywa na uongozi wa klabu, wachezaji, ufundi na mashabiki wa klabu hiyo waliokuwa bega kwa bega katika kipindi chote cha michuano ya Ligi Daraja la Kwanza.

Mtibwa Sugar imeonyesha kiwango cha hali ya juu na nidhamu msimu huu, ikihitimisha kampeni zake kwa matokeo chanya yaliyoipa fursa ya kurejea ligi kuu ya nchi: Ligi Kuu ya NBC.

Mtibwa Sugar Yapanda Ligi Kuu NBC Tanzania 2025/2026

Kwa moyo wa pongezi na matumaini mapya, Mtibwa Sugar inarejea kwenye anga muhimu zaidi ya soka nchini Tanzania. Hii ni fursa ya kuandika historia mpya na kushindana kwa ubora dhidi ya timu kongwe nchini. Hongera Mtibwaofficial.

CHECK ALSO: