Ratiba ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/2025 | Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Mashindano ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 yanaingia hatua ya raundi ya tatu, ambapo timu mbalimbali zitapambana tarehe 5 Desemba 2024. Mechi hizi zinatarajiwa kuwa za kusisimua, huku timu zikijaribu kuonyesha uwezo wa hali ya juu ili kuendelea katika hatua zinazofuata.
Ratiba ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/2025

Ratiba ya Michezo ya 2 Machi 2025
- Cosmopolitan FC (DAR) vs KMC FC (DAR) β Jamhuri, MORO
- Tanzania Prisons (MBEYA) vs Bigman FC (LINDI) β Sokoine, MBEYA
- Kagera Sugar (KAGERA) vs Namungo FC (LINDI) β Kaitaba, KAGERA
- Kiluvya FC (DAR) vs Pamba Jiji (MWANZA) β Mabatini, PWANI
- Mashujaa FC (KIGOMA) vs Geita Gold (GEITA) β Tanganyika, KIGOMA
- Azam FC (DAR) vs Mbeya City (MBEYA) β Azam, DAR
- Singida BS (SINGIDA) vs Leo Tena FC (KAGERA) β Liti, SINGIDA
- Fountain Gate (MANYARA) vs Stand United (SHINYANGA) β Kwaraa, MANYARA
Ratiba ya Michezo ya 3 Machi 2025
- Mbeya Kwanza (MTWARA) vs Mambali Ushirikiano (TABORA) β Nangwanda, MTWARA
- Polisi Tanzania (KβNJIARO) vs Songea United (RUVUMA) β Ushirika, KβNJIARO
- Mtibwa Sugar (MORO) vs Town Stars (SINGIDA) β Manungu, MORO
- Giraffe Academy (KATAVI) vs Green Warriors (DAR) β Azimio, KATAVI
- JKT Tanzania (DAR) vs Biashara United (MARA) β Isamuhyo, DAR
- Tabora United (TABORA) vs Transit Camp (DAR) β Ali Hassan, TABORA
Ratiba ya Michezo ya 11 na 12 Machi 2025
- 11 Machi 2025: Simba SC (DAR) vs TMA Stars (ARUSHA) β KMC, DAR
- 12 Machi 2025: Young Africans (DAR) vs Coastal Union (TANGA) β KMC, DAR
ANGALIA PIA:
Weka maoni yako