Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza

Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza NBC | LIGI DARAJA LA KWANZA, maarufu kwa jina la NBC Championship Tanzania, ni miongoni mwa mashindano yenye umaarufu mkubwa nchini. Ligi hiyo ni ya pili kwa ukubwa baada ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) na kutoa fursa kwa timu kuonyesha vipaji vyao na kutinga hatua nyingine. Kwa msimu wa 2024/2025, ligi imepangwa kuanza Septemba 14, 2024 na kukamilika Mei 10, 2025.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza orodha ya mechi na wadau wengi wa soka wana matumaini na msimu huu kutokana na ushindani unaotarajiwa kutoka kwa timu zinazowania nafasi ya kushiriki Ligi Kuu ya NBC/Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza.

Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza

NafasiTimuMechiUshindiSareKosaMagoli+Magoli-MagoliPointi
1Mtibwa Sugar27213353153866
2Mbeya City27178255243159
3Stand United27184547232458
4Geita Gold27173747212654
5TMA27147637241349
6Mbeya Kwanza27146738241448
7Bigman2712962617945
8Songea United2712783630643
9Mbuni2796123333033
10Polisi Tanzania2787122939-1031
11Green Warriors2772182147-2623
12Kiluya2763181839-2121
13Cosmopolitan2754181845-2719
14Transit Camp2745181844-2617
15African Sports2743202253-3115
16Biashara United2775152242-2011
Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza
Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza

Msimamo wa NBC Championship League kwa msimu wa 2024/2025 baada ya michezo 21. Timu zinapambana kuwania nafasi za kupanda Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) huku zingine zikipigania kuepuka kushuka daraja/Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza.

  • Mtibwa Sugar inaongoza ligi ikiwa na alama 51 baada ya kushinda michezo 16 kati ya 21.
  • Geita Gold ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 45, ikifukuzia nafasi ya kupanda moja kwa moja.
  • Mbeya City na Stand United zinashikilia nafasi ya tatu na nne zikiwa na alama 43 kila moja.

CHECK ALSO: