Matokeo ya Zimamoto vs Yanga Leo 29/04/2025 | Nusu fainali ya Kombe la Muungano 2025 inapamba moto huko Gombani
Michuano ya Kombe la Muungano 2025 inaingia katika hatua yake muhimu zaidi, huku Zimamoto FC na Yanga SC zikitarajiwa kumenyana katika nusu fainali ya pili, itakayochezwa Aprili 29, 2025, kwenye Uwanja wa Gombani.
Mchezo huu una umuhimu mkubwa kwani mshindi atajikatia fainali dhidi ya JKU SC ambao tayari wamefuzu baada ya kuiondoa Azam FC kwa ushindi wa mabao 2-1. Hii inaashiria kuwa pambano la fainali litakuwa kali na litaleta pamoja timu bora kutoka kila upande.
Matokeo ya Zimamoto vs Yanga Leo 29/04/2025
FT | ZIMAMOTO 1-1 [1-3] YANGA
- Wananchi wametinga fainali kwa mikwaju ya penati 3-1
- 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| Zimamoto 1-1 Young Africans SC – mechi inakwenda kwenye mikwaju ya penalti.
- 90+4’| #MuunganoCupSemiFinal – Zimamoto 1-1 Young Africans SC
- 85′ Bado mechi iko sare ya goli 1-1, huku Yanga ikitafuta goli la uongozi kwa kasi sana
- 72′ Zimamoto 1-1 Young Africans SC
- 70′ ⚽️Said Mwinyi kwa mkwaju wa penati
- 60′ Zimamoto 0-1 Young Africans SC
- 29′ MAXIIIIIIIIIIIIIIIIIII⚽️

Muungano Cup 2025 inaendelea kutoa burudani ya kiwango cha juu, na nusu fainali kati ya Zimamoto FC na Yanga SC inatarajiwa kuwa moja ya michezo yenye ushindani mkubwa zaidi hadi sasa.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako