Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 | Ratiba ya Raundi ya Nne ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara La CRDB.
Hii ni ratiba rasmi ya raundi ya nne ya michezo mbalimbali inayojumuisha timu za Ligi Kuu Tanzania Bara (PL), Championship League (CL), First League (FL), Regional Championship League (RCL), kwenye mashindano ya CRDB Federation Cup (FA). Mechi hizi zote zinapangwa kuchezwa saa 16:00 jioni, isipokuwa kama kutakuwa na marekebisho.
Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
RATIBA YA NUSU FAINALI
17/05/2025: 16:15 – Young Africans VS JKT Tanzania | Mkwakwani
18/05/2025: 15:30 – Simba SC VS Singida Big Stars | Tanzanite Kwaraa
Ratiba hii inajumuisha mechi kali zinazotarajiwa kuwa na ushindani mkali, hususan michezo ya timu kubwa kama Simba SC na Yanga SC, ambayo itaamua hatma yao katika michuano ya msimu huu. Mashabiki wa soka wanasubiri kwa hamu kuona matokeo ya raundi hii ya nne.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako