Ratiba ya Ligi Kuu NBC 2024/25 Mzunguko wa 27 | Simba SC, Yanga SC, Azam FC na Timu Nyingine Zarejea Uwanjani.
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea kwa Mzunguko wa 27 msimu wa 2024/25, mashabiki wanatarajia burudani ya kusisimua kutoka kwa timu kadhaa zinazowania nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi hiyo.
Ratiba ya Ligi Kuu NBC 2024/25 Mzunguko wa 27
Hizi ndizo mechi zilizopangwa kufanyika wiki hii ya tarehe 27:
Mechi za Aprili 18, 2025
Tanzania Prisons vs JKT Tanzania
⏰ Saa 10:00 Jioni | 📍 Sokoine Stadium – MbeyaKMC FC vs Dodoma Jiji
⏰ Saa 10:00 Jioni | 📍 KMC Complex – Dar es Salaam
Mechi za Aprili 19, 2025
Singida BS vs Tabora United
⏰ Saa 10:00 Jioni | 📍 CCM Liti – SingidaKagera Sugar vs Azam FC
⏰ Saa 1:00 Usiku | 📍 Kaitaba Stadium – Kagera
Mechi za Aprili 20, 2025
Namungo FC vs Mashujaa FC
⏰ Saa 1:00 Usiku | 📍 Majaliwa Stadium – Lindi
Mechi za Aprili 21, 2025
Fountain Gate vs Young Africans (Yanga SC)
⏰ Saa 10:00 Jioni | 📍 Tanzanite Kwarara – ManyaraCoastal Union vs Kengold FC
⏰ Saa 1:00 Usiku | 📍 Mkwakwani Stadium – Tanga

Mechi ya Mei 8, 2025
Simba SC vs Pamba Jiji
⏰ Saa 10:00 Jioni | 📍 KMC Complex – Dar es Salaam
Mashabiki wa soka wanakumbushwa kufuatilia mechi hizi kwa karibu, kwani matokeo ya mechi hii ni muhimu kwa mustakabali wa ligi. Timu za Yanga SC, Simba SC, na Azam FC zinachuana kuwania ubingwa, huku nyingine zikipambana kukwepa kushuka daraja.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako